Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau...
Beschikbare afleveringen
5 van 24
Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda
Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
--------
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali
Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
--------
Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya
--------
Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji
--------
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
--------
Over Muziki Ijumaa
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.